Majini ni viumbe ambao wana dunia yao pia wana matabaka aina mbalimbali pia wanatofautiana katika maumbile jinsia na nguvu na makabila aina mbalimbali
Kuna aina nyingi za majini hapa nitakuelekeza aina zote ambazo unapaswa kuzijuwa ili ujuwe njia za kuwatumia kila aina za majini
MAJINI WAPO KATIKA MAKUNDI 3
1.Majini wano Ruka angani / pepo / mbawa
2.Majini aina za wanya aina mbalimbali
3.Majini aina ya wanadamu
Hizo ni aina za majini na makundiyao majini wapo tofauti sio kama walivyo viumbe wengine ka wanadamu majini wameubwa katika maumbile mbalimbali pia wanazidiana katika aina katika hizo aian 3 ndani yake kunaaina za makabila ya majini wote
AINA ZA MAKABILA YA MAJINI
Majini wanamakabila mengi pia wanajinsia tofautitofauti pia hata katika nguvu wanatofautiana katika maisha na aina za tabaka
Kuna aina za kabila ambazo ni 10
1.IBILISIA
2.SHAYITWANIYA
3.MARADIYATI
4.AFARITIYATI
5.AAWANIYATI
6.GAUSUNIYATI
7.TWAYIRUNIYATI
8.TWABIYATI
9.QARNAYATI
10.AMARATI
11.RAUHANIYATI
12.UMI SUBIYANATI
13.ASHIBAHATI
14.HUBIYATI
15.BURHANATI
16.TWAYISHIYATI
Hizi ni kabila za majini wote katika maisha na ulimwengu wamajini wanatofautiana katika kila aina za mabo na sehemu wanao ishi
TABIA
Majini wanatofautiana katika tabia zile 4 Ambazo kila aina za koo zinakuwa natabaka na nguvu na uwezo wakufanya kazi kutokana na aina za tabia majini wana gawanishika katika {TABIA 4}katika hizo tabia kuna maanakubwa sana kwani kala kiumbe kinacho ishi katika maisha ya huu ulimwengu kinakuwa na tabia zake
pia vile vile hata kwa wanadamu nawao pia wana tabaka na makabila na aina ya maisha na maumbile pia wanatofautiana katika tamaduni na tabia
NGUVU ZA MAJINI
Majini ni viumbe walio umbwa namungu ambao wanaishi na waliwahi kuwa ndio viumbe wakwanza kuishi katika dunia hii kambal ya mwanadamu
Majini wameumbwa katika kila aina ya sifa zao majini wameumbwa kutokana na moto tofauti na mwanadamu ameumbwa kwa udongo
Majini wananguvu tofauti na kiumbe chochote wanauwezo wa
1.KUJIGEUZA CHOCHOTE ANACHOTAKA
2.ANAUWEZO WA KUJIFICHA SEHEMU YOYOTE
3.NIWENYE UWEZO WA KUISHI KWA MIAKA MINGI ANA KARNE NYINGI
4.NIWENYE MIUJIZA MINGI
5.NIWENYE ELIMU KUBWA SANA KATIAK HII DUNIA
majini wanasifa nyingi sana na wanatofautiana katiaka maisha yao kila aina ya kabila la majini wana kuwa na na tamaduni zao na vitu vyao na utajiri wao
JINSIA ZA MAJINI
Majini wa na jinsia 3
1.MAJINI WAKIUME
2.MAJINI WANAWAKE
3.MAJINI WASIO KUWA NA JINSIA YOYOTE
MAjini wameumbwa katika aina mbalimbali za jinsia na maumbile tofautitofauti wapo tofauti na wanadamu
0 Reviews:
Post a Comment