بسم لالله الرحمن الرحيم
ألسلاعليكم ورحمة الله وبركته
HIZI NDIO AINA ZA VIUMBE AINA YA MAJIN
Dr.jalaleni
nakukaribisha katika mada yangu hapa nitakuwa na elezea habari za majini wana aina ngapi nakila aina yajini anaitwa nani
Katika kuelezea mada hii kuna watu wengi ambao wana maswali mengi katika kujuwa habari na elimuza viumbe mbalimbali wakitaka kujuwa wasifu wa viumbe na faida zao na madhara yao nani kitugani wanaweza kufanya ili waweze kujiepusha na matatizo yatokayo kwa viumbe wengine pia nakutaka kujuwa faida za viumbe wengine katika maisha yao
Tunapo zugumzia mada hii tuta itajika kujuwa kiundani pia tutawezaje kupta ukweli unaoweza kutuelimishakuhusu siri za viumbe mbalimbali katika
VIUMBE
Tunapo takakujuwa viumbe ni kitugani tunapaswa kujuwa kuwa kilakitu kina asilia yake yani chonzo chakuwepo na historia ya uumbwaji wake ili tuwezekujuwa habari za majini na viumbe wengine tutapaswakusoma habari kutoka kwa mungu au vitabu vya mungu nikiwa namaanisha kuwa Quraan karim na bibilia ukitafuta utafiti au maelezo mengine zaidi ya imani au dini au vitabu vya dini hauto juwa siri za viumbe kuumbwa na sababu za kuwepo hapa duniani hivyo basi tuna tuna paswa kujuwa mengi kupitia vitabu vitakatifu
DINI INA ELEZEAJE VIUMBE
Islamic
Ukrisro
1. Uwislamu/Quraan karim
Hizi ni aya ambazo zinatuonesha kuwa kila kitu kina shanzo chake nakina maana yake pia na kuonesha alie viumba vyote
إِنَّا كُلَّ شَيْءٍ خَلَقْنَاهُ بِقَدَرٍ
إِنَّ رَبَّكَ هُوَ الْخَلَّاقُ الْعَلِيمُ
Kuna maeklezo makubwa sana katika kuelezea jinsi ambavyo mungu anatufundisha kuwa kilakitu kimeumbwa na sio vingine Tunapaswa kujifunza kuwa sisi na vituvingine niviumbe Kuna maelezo kamili kupitia hapa kwenye link hii👉VIUMBE VYA MUNGU ALIVYO VIUMBA👈soma vizuri hapo kwenye hyo link kwakujuwa sirikubwa ya kuumbwa kwa viumbe mbalimbali
KIUMBE AINA YA JINI
Tunapo zungumzia viumbe aina ya majini tunatakiwa kuamini kuwa manji ni viumbe walioumbwa namungu kama andiko linavyo tufundishayakuwa
وَالْجَانَّ خَلَقْنَاهُ مِن قَبْلُ مِن نَّارِ السَّمُومِ
وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنْسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ
Jini ameumbwa na mwenyezimungu kwa kupitia moto kama ailivyo umbwa mwana adamu kupitia udongo kuanamaelezo mengi katika kujifunza na kusoma kuhusu habari za majini unatakiwa kujifunza kwa kusoma hapa katika link hii👉MUNGU AMEUMBA MAJINI KUTOKANA NA MOTO👈hapo utajifunza mada nyeti zinazo weza kukusaidia katika maisha yako
TANADUNI NA JADI NA ASILI ZA VIUMBE
Tkatika tamatuni yani asili za watu kunajambo huwa linaitwa mizimu wanapo sema mizimu huwa wanamaanisha kuwa nikiumbe chengine kisi onekana lakini kipo katika tamaduni zao na asili zao na wanaamini kuwa wanaweza kusaidiwa kupitia mzimuhuo au kudhurika kupitia mzimu huo
AINA ZA MAJINI KIMAUMBILE
Kamanilivyo kwambia mwanzo ilituweze kujuwa ukweli kuhusu viumbe tunapaswa kupata ukweli kupitia vitabu vya dini au watu wadini au viongozi wadini pia nakupata ukweli kutoka kwa mitume na manabii walio pewa maandiko matatkatifu
Katia kumuelezea maumbile ya jini mtume mugamda s.w. anasema
قال: قال رسول الله : "الجن ثلاثة أصناف صنف لهم أجنحة يطيرون في الهواء وصنف حيات وكلاب وصنف يحلون ويظعنون
Mtue anasema majini wana maumbile ya aina 3
1.Majini wanao ruka
2.Majini wano tambaa chini
3.Majini wanao tembea kama wanadamu
Hizi ni aina za majini ambazo ndani yake kuna makabila mbalimbali kamatulivyo wanadamu mungu ametuumba kwa udongo pia ndani yake akatuwe tofauti kuanzia kwenye rangi
0 Reviews:
Post a Comment