MTU ANAWEZA KUFUNGWA NA MIZIMU KATIKA MAISHA YAKE
Tunapo sema vifungu vya mizimu tunamaanisha kuwa kuto kuweza kufanya chochote katika maisha au katika kazi zako
Kunawatu wanapata shiza za kimaisha kwa sababu ya vifungu vya kimizimu ambavyo vinaweza kuwa vilifanyika toka huko zamani kwa mababu na mababu ambao walikuwa na mikataba yao na mizimu yao halafu haikutimizwa huwa wanao zaliwa baada ya hao wazee kama na wao hawa kufatilia huwa na wao wanapata matatizo ya aina mbalimbali kama
1.MAGONJWA SUGU
2,MATAATIZO SUGU
3.VIFO VINGI VYA KILA MARA KATIKA KOO AU FAMILI
4.KUPOROMOKA KWA MALI UTAJIRI BIASHARA KAZI KUACHWA NA NK..
Unapo kuwa katika haya matatizo unaweza kujuwa kua ni amri ya mungu lakini inakuwa sio pia unaweza kushindwa kuwa vizuri katika kila jambo mpaka ukajiona wewe ni mnyama MIZIMU ni viumbe hatari sana ambao wanamuhusu mtu husika katika shuguli zao
MIZIMU NA UCHAWI
Mizimu wakiamuwa wanauwezo wakuliloga koo kwa aina Fulani ya tatizo na wanafamilia wote wakawa wana ugonjwa Fulani ambao unakuwa ni ugonjwa wa koo pia MIZIMU inauwezo wa kulifanya koo likwa koo la kitajiri kama
1.KOO TAJIRI MALI
2.KOO LENYE ELIMU UTAWALA
3.KOO LA UFUNDI INJINIA
Pia miziu wanauwezo wakuliharibu koo kwa sifa yoyote kama
1.KOO MASIKINI
2.KOO LISIOKUWA NA ELIMU WALA UTAWALA
3.KOO LISILO KUWA NA CHOCHOTE
Mizimu wanauwezo mkubwa sana katika damu yamtu husika kuliko kiumbe yoyote na unapo taka kuwa nakiumbe yoyote nilazima huyo kiumbe awe ni mwenye kuweza kuendana nao nakama hawato endana na huyo jinni basi huyo jinni hatoweza kuwa na nguvu na huyo mtu
USIWE NA MASHAKA KATIKA KUWA TUMIA MAJINI AU KUWA ODOSHA MASHETANI
Kuna ushahidi mkubwa sana katika kuwatumia majini kwa ni mitume na manabii na viongozi wa dini na wazee wetu wa kale wali watumia majini katika kila jambo ili uweze kujitowa wasiwasi juu ya kuwatumia majini somahapa na pata njia za kukusaidia {KUWATUMIA VIUMBE AINA YA MAJINI KUNA USHAHIDIGANI AU USIBITISHO?} katika linki hiyo utajuwa

0 Reviews:
Post a Comment