Search

Translate

mtu anaweza kujifunguwa kwenye vifungu vya majini katika matatizo ya majini?


KUNA AINA GANI YA VIFUNGU KWAMTU ALIE FUNGWA NA MAJINI?

kunaaian nyingi sana mtu anaweza kufungwa na majini wa aina mbalimbali na kwa sababu mbalimbali katika aina za kufungwa na majini una weza kufungika kutoka kwa viumbe wa aina 4


1.MIZIMU YA ASILIA / ASILIA NA TAMADUNI
2.MAJINI WA KUTAFUTA /KWAAJILI YA MALI NA NK..
3.MAJINI WA KUTUMWA /MAPIGO YA UCHAWI /HUSDA/ UCHAWI
4.MAJINI WA MAPENZI / KUKUPENDA /AKUSAIDIE KUKUPA MALI AU KWA JAMBO LOLOTE

hizi ni sababu ambazo ndio sababu kuu mtu anaweza kupatwa na kifungu cha jini kwakutokana na aina ya kifungo kunavifungo mbalimbali ambavyo mtu ananweza kufungwa na aina hizo 4 za viumbekatika aina za vifungo huwa zile aina kuu za vifungo vikubwa huwa ni 4

1.VIFUNGO VYA MAISHA MAGUMU 
2.VIFUNGU VYA MATATZIZO SUGU
3.VIFUNGU VYA KUSHINDWA KATIKA KILA JAMBO UNALO LIFANYA 
4.VIFUNGU VYA KUHARIBIKA KWA MAHUSIANO NA WATU WENGINE 

hizi ni aina za vifungo mtu anaweza kufungwa na viumbe wa aina 4 kama utakuwa umefungwa basi hutoweza kuyapata mafanikio kwa sababu utakuwa upo kwenye vifungo vikali vya aina za viumbe mbalimbali 


VIFUNGO NI NINI?
vifungo ni aina ya mambo yanaweza kufanyika kwa mtu kwa kuziwiliwa au kufanyiwa kitendo fulani ambacho kikawa ni kikwazo kwake pia kina weza kumpelekea kufa kabisa kutokana na matatizo kuwa ya mezidi kwa kiasi kikubwa 

vifungu vinatofautia na sana katika kupatwa na vifungu hivyo pia vifungu vinakuwa na sababu zake huwezi kupatwa na vifungu bila kuwa na sababu 

KUNA MADHARA GANI KWAMTU AILE KWENYE AINA HIZI ZA VIFUNGO?
mtu atakae kuwa kwenye aina hizi 4 za vifungo vitampelekea yeye kushindwa kufanya chochote katika maisha yake na kubaki akihangaika na kupata taabu sana na kuwa na zohofu ya kifya na kiuchumi na kimapenzi kwawatu humsababishia 

1.MATATIZO YA KILA WAKATI
2.MAGONJWA YASIO ISHA YANI SUNGU
3.KUCHUKIWA NA WATU HADI NDUGU NA FAMILIA NA WAZAZI WAKE
4.KUISHI MAISHA YA SHIDA SANA 

ukiwa nahali hii unatakiwa kujitambuwa kuwa wewe ni mgonjgwa unahitajika kupata suluhisho la matatizo yako unaweza kuwa msomaji  wa maelekezo yetu hapa au kwa kujifunza zaidi angalia kwenye ukurasa wetu wa youtube  { JINSI YA KUJITOWA KWENYE MATATIZO  MBALIMBALI } UTAWEZA KUPATA NJIA AMBAZO ZITAKUWEZESHA KUJUWA DAWA NA VITU MBALIMBALI




























0 Reviews:

Contact Form

Name

Email *

Message *