Search

Translate

UNAWEZA KUFANYA MAMBOGANIAMBAYO YATAKUPA MAFANIKIO KATKA MAISHAYAKO?


Mafanikio

Jump to navigationJump to search

Mafanikio ni ukamilishaji wa malengo yanayoipatia nchi, jamii au mtu binafsi ustawi, afya njema au hadhi. Mafanikio pia hujulikana kama ufanisi, maendeleo au neema.

Mafanikio hupatikana baada ya kumaliza shughuli fulani au kitu fulani

Jamii ina maanagano katka maisha yamtu?

Jamii ni istilahi inayoelezea uwepo wa pamoja wa mwanadamu (kwa pamoja, inataja jumla ya mitandao ya kijamii na nguvu ya mitandao yake).

Haitaji kila kitu ambacho mtu anafikiria kuwa nacho au hana, bali yale ya mambo ambayo kila mtu anayetenda kwa dhumuni maalumu.

Jamii ni watu wanaokaa pamoja na kushirikiana kwa mambo mbalimbali, kwa mfano masuala ya afya, elimu na ulinzi: mambo hayo yanapowakutanisha watu hujenga kitu kinachoitwa jamii, jamii hujenga umoja na upendo baina ya watu husika.

Jamii bora inahitaji watu wenye upendo: watu wakipendana huweza kuishi na kujenga jamii bora, hivyo ni vyema watu wa sehemu husika wapendane ili waweze kujenga jamii ya namna hiyo.

Umoja nini katka maisha ya mtu?

Umoja katika hisabati unahusu sifa maalumu za namba moja na za mambo yote yasiyo na wingi.

Kutokana na maana hiyo ya msingi, neno umoja linatumika katika fani mbalimbali, kuanzia dini, ambapo katika imani ya wengi (kama vile Wayahudi, Wakristo na Waislamu) umoja ni hasa sifa ya Mungu.

Katika Ukristo, imani katika umoja wa Mungu katika Nafsi tatu (Baba, Mwana na Roho Mtakatifu) ndio msingi wa umoja wa Kanisa pia kadiri ya Kanuni ya Imani ya Nisea-Konstantinopoli kwa njia ya ubatizo uleule mmoja ambao waamini wote wanatakiwa kuupokea

Maendeleo

Maendeleo ni mabadiliko yanayoonekana kuboresha hali ya binadamu.

Hali hiyo inajitokeza katika nyanja mbalimbali za maisha na kulisha mawazo mengi.

Upande wa sayansi yanahusika na ongezeko la ujuzi kutokana na utafiti na mabadilishano ya matokeo yake.

Upande wa historia yanahusishwa na utambuzi wa kwamba ulimwengu unaweza kuboreshwa zaidi na zaidi kutokana na mchango wa sayansi, teknolojia, uhuru n.k.

Upande wa jamii yanahusishwa na tarajio la kwamba binadamu anaweza kupata hali bora zaidi na zaidi katika mafungamano, siasa, uchumi n.k.

Upande wa falsafa yanahusishwa na tumaini au hakika ya kuwa hali ya binadamu itazidi kuwa bora. Kinyume chake, wengine wanaonyesha kwamba vipindi vya ustawi vinafuatwa na vingine ambapo maendeleo hayatokei, sanasana ni kurudi nyuma.

Kwa jumla, ni muhimu kutambua kwamba si kila badiliko linaleta maendeleo, au walau maendeleo ya upande mmoja yanaweza yakaendana na hali yu kurudi nyuma upande mwingine.

Mara nyingi inatajwa teknolojia ambayo ikitumika vibaya inaweza kuharibu maadili, uchumi n.k. hata kuangamiza kabisa uhai (k.mf. mabomu ya nyuklia).

Itafaa daima kukumbuka kaulimbiu ya Julius K. Nyerere: "Maendeleo ni watu, si vitu". Wengine wanauliza, "Maendeleo ya watu ni yapi? Na maendeleo ya vitu ni yapi?











0 Reviews:

Contact Form

Name

Email *

Message *