ALAMA ZA MAJINI NA NEMBO VINA MAANA GANI
Unapokuwa na jinni nilazima uwe na alama au logo ambayo inakuwa ina muwakilisha kiumbe utakae kuwa nae pia hiyo logo au alama inakuwa nisehemu ya kuwa anakaa huyo jinni unapo kuwa na jinni nilazima uwe na ian za ya vitu hivi
1.ALAMA YA KUMWITA JINI
2.ALAMA ZA KUMTUMIKISHA JINI
3.ALAMA ZA KUWEZA KUMTUMA JINI AKULETEE KIYU CHOCHOTE
Alama hizo kuwa zina wekwa katika aina za vitu aina 3
1.KITAMBA KIKUBWA AMBACHO KINA WKWA NDANI YA CHUMBA AU ROOM
2.KITAMBAA AMBACHO UTAKUWA UNA KITUMIA KUKIKALIA WAKATI WA KUMTUMI JINI
3.AINA ZA MAVAZI AMBAYO UTAKUWA UNAVAA
4.AINA YA PEYTE AMBAYO ITAKUWA INA ALAMA NA LOGO YA JINI HUSIKA
Vitu hivyo ni muhimu kwa mtu anae taka kumtumiajini utakapo kuwa huna vitu hivyo huto weza kumpata jinni mzuri ambae atakupa mali na utajiri
ALAMA NINI
Baadhi ya watu wanajuwa lama ni sehemu ya uchawi au ushetani lakini alama ni sehemu ya makazi au kitu kinacho onesha mambo Fulani kwa alien a hiyo alama
Kuna elimu kubwa sana katika alama tuna amini kuwa kila jambo lina maana yake na sirizake kwahivyo unapaswa kujuwa kila jambo unalo litaka unatakiwa kulijuwa undani wake ili uweze kujuwa jinsi ya kuweza kufanikiwa katika maishayako alama nisehemu muhimu kwamtu na inamaanakubwa sana katika maisha yamtu au kiumbe mwenye zimungu kaumba kila kiumbe kakipa alma yake na logo yake katika dunia
USIWE NA MASHAKA KATIKA KUWA TUMIA MAJINI AU KUWA ODOSHA MASHETANI
Kuna ushahidi mkubwa sana katika kuwatumia majini kwa ni mitume na manabii na viongozi wa dini na wazee wetu wa kale wali watumia majini katika kila jambo ili uweze kujitowa wasiwasi juu ya kuwatumia majini somahapa na pata njia za kukusaidia {KUWATUMIA VIUMBE AINA YA MAJINI KUNA USHAHIDIGANI AU USIBITISHO?} katika linki hiyo utajuwa

0 Reviews:
Post a Comment