NI AINA GANI ZA MASHARI YA MAJINI
Kuna aian nyingi za mashariti natunaposema mashari tuna maani shanin. Tunacho maanisha kila jambo linakuwa na utaratibu wake maalumu kuna mambo unayopaswa kuyanfanya na kunapmambo hupaswi kuyafanya
Kunaian za majini ambao hawawezi kuwa nakiumbe chenye tabia tofauti na zakao kama katika tabia zile 4 amazo mwenye zimungu mtukufu ameumba viumbe wote kasha akagawanisha kila kiumbe katika tabia 4 ambazo
1 .MOTO
2.UDONGO
3.UPEPO
4.MAJI
Tunapo sematabia tunamaanisha kuwa kilakitu kian tabia zake na aina za tabiaya zake pia katika hizo tabia kuna tabia zina endana na zisizo endanna kama
Tabia ya MOTO na UPEPO hizi ni tabia zina endana katika kila aina ya mambo viumbe wenye tabia hizo wana endana katika kila aina ya mambo
Tabia ya UDONGO na MAJI nitabia zinazo endana katika kila aina ya mambo ukiwa na tatbia ya aianhizi au hauna taabia mnazo endanan nazo itakuwa mambo tofauti
Unapo mtaka jinni nilazima ujuwe tabia za huyo jinni na ujuwe tabia zako bila kufanya hivyo utakapo mpata jinni wa tabia tofauti na zako nilazima utakuwa kwenye matatizo kilamara
Unaweza kupofya kwenye hizo tabia na ukajuwa kila tabia inahusika na mambo gani
MASHARITI AINA ZA MATENDO
Kunaviumbe wanao penda viumbe wenye aina za matendo haya
1.DINI / IBADA / MAMBO DINI
2.UWASHARATI/ USHETANI
TUnapo sema aina ya matendo ya KIDINI inamaanisha kwanza jinni au huyo kiumbe sio mbaya nikiumbe mzuri wa kidini pia yeyemwnyewe huyo jinni anakuw na dini pia
Majini wanao kuwa hana mambo ya kishetani huwa wanakuwa na aina za mashariti ambayo unatakiwa kuwa nayo kwamfano
1.kutokuwa mzinifu
2.kutokuwa mwizi / tapeli wa mali zawatu
3.kutokuwa na rohombaya
4.matendo ya kishetani
Mjini wa aina hii huwa wanakubaliana na viumbe mwenye sifa hizi
1.mtu mwenye dini
2.mtu mwenye huruma
3.mtu mwenye heshima kwa wakubwa na wadogo
4.mtu mwenye matendo mazuri
PIA KUNA MAJINI WANAP PENDA VIUMBE WENYE SIFA HIZI
1.mtu mwenye tabia mbaya
2.mtu mwenye rohombaya
3.mtu mwenye uwasharat
4.mtu asie na tabia za utu wa huruma wala msaada
Unapo taka kuwa na kiumbe yoyote nilazima uwe na kiumbe unacho endana nacho tabia kuanamashariti mengi ila hayo nimakuu sana kunawatu wana jiuliza mbaona kunawatu ni matajiri wana mali lakini ni wenye rohombaya wanasaidia watu wana towa misaada halafu kunawatu wana kuwa wana taabia nzzuri pia wanamali halafu hawa saidi watu wala hawa oneshi kuwa wao niwatu wazuri yani mapaya ndie anaonekana ni mzuri na mzuri anaonekana ni mbaya
WATU HUWA HAWAJUI
Unapo muona mtu ni mzuri anamali nitajiri unatakiwa kumchunguza mtuhuyo utuwake na roho yake na matendo yake yapo kwa watu wazuri tuu ndi anae weza kuwasaidia ukiona hasaidii watu ujuwe watu hao sio wazuri
Lakini utakapo muona mtu ni mbaya anasaidia watu na kujionesha kuwa yeye ni mwema ni mzuri unatakiwa kutambua mtuhuyo anapo towa misaada ujuwe kunajambo analo litaka katika watu anao wasaidia
USIWE NA MASHAKA KATIKA KUWA TUMIA MAJINI AU KUWA ODOSHA MASHETANI
Kuna ushahidi mkubwa sana katika kuwatumia majini kwa ni mitume na manabii na viongozi wa dini na wazee wetu wa kale wali watumia majini katika kila jambo ili uweze kujitowa wasiwasi juu ya kuwatumia majini somahapa na pata njia za kukusaidia {KUWATUMIA VIUMBE AINA YA MAJINI KUNA USHAHIDIGANI AU USIBITISHO?}katika linki hiyo utajuwa

0 Reviews:
Post a Comment