Search

Translate

unawezaje kupata na kuwa na mali utajiri kwa kupitia nyota yako

 

KUNAMALI GANI KWA KUPTIA NYOTA YAMTU HUSIKA

Tunapo zungumzia nyota tunasema kuwa ni sistimu ya mtu hapa duniani nakila kitu kina sistimu yake ambayo ndio muongozo wamaisha yake mwenyezimungu mtukufu ametuambia kuwa kila kitu kina sirizake na siri za viumbe zipo kwenye nyota kila kiumbe kime pangiwa mambo 12 ambayo ndio maisha yake ambayo ni

1.maisha ya kiumbe husika

2.mali biashara utajiri wa kiumbe husika

3.ndugu familiya aina ya koo

4.wazazi  familia za walio mzaa na koo zao

5.kizazi watoto na koo lako utakalo lizaa

6.ugonjwa  matatizo shida

7.ndowa mke au mume mapenzi

8.kifu maharibiko ya kilakitu

9.safari mapato ya kazi zako faida na hasara

10.cheo na heshima na wadhifa wa mtu husika

11.matarajio mipango na njia

12.maadu fitina na hatari kwa mtu husika

Haya nimambo12 ambayo mwenye zimungu kayapanga kwa kila mjaa ambae anakuwa na mambo hayo unapo taka kufanya jambo lolote unashauriwa kujuwa hilo jambo una lifanya lipo kwenye nambagani katika hizo namba 12 nakila namba katika hizo namba 12 inakuwa na nyota yake ambayo ikikutana na nyota yako ndio inafanya kinachohusika na nyota yako

NITA IJUMWAJE NYOTA YANGU

Nyota ni sehemu muhimu katika maisha yako unatakiwa kujifunza kuijuwa nyota yako halisi kunanjia nyingi ambazo wanatumia wanajimu wanyota mbalimbali dunia anai lakini kuna aina nyingi za utabiriwanyota kama

1.UTABIRI WA KIDINI

2.UTABIRI WA KIMILA

3.UTABIRI WA KISAYANSI

Zote hizo ni tabiri ambazo kila tabiri inakuwa na kanuni zake kwa mfano tabiri za MILA zinafanyika wa mifumo mbalimbali kwa kila aina za watu duniani wana amini kutokana na tamadunizao za mila katika kuzitabiria nyota

Katika  SAYANSI wanatabiri kutokana na uchunguzi wao na kutumia kanuni za kisayansi

Katika DINI wanatumia maono ya kiroho na maandiko matakatifu katika kujuwa undani wa nyota na maana zake

 

NI NJIA GANI YA KUFATA ILI INJUWE SIRI ZA MAISHA YANGU

Kutokana na siri ya maisha ni jambo ambalo mungu ndio kalipanga kwa kiumbe chochote basi tutahukumu kuwa njia sahihi ya kujuwa nyota yako ni njia ya KIDINI ambayo ndio itatuambia ukweli wa nyota yako

NINJIA GANI YA KUJUWA KWA KUPITIA DINI

Kidini wameelezea wanachuoni wa kiroho yani viongozi wa kiimani wakubwa wame andika na kuandaa njia ambazo zina tumika kujuwa siri ya kiumbe katika maisha yake  njia hizo wame ziweka kuwa katika sehemu 3

1.UTATUMIA MAJINIA:3  YANI JINALAKO  NA  LAWAZAZI 2   YA BABA NA MAMA

2.UTATUMIA MAJINA:2  YANI JINA LAKO NA LA MAMA TUU JINA LA BABA HAPANA

3.UTATUMIA JINA LAKOO TUU MOJA

Katka kauli yenye nguvu hapo ni kauli ya 1kwa sababu kila kitu kina asili yake ambayo ndio siri ya kitu hicho hiizi ninjia ambazo zinatumika na wataalamu wa nyota wa kiroho yani mashekhe na mapadri

 

KUNAFAIDA GANI ZA NYOTA

Nyota inafaida kubwa kwamtu  kutokana na maisha yake unaweza kuitumia nyota yako kuwa nisehemu ya kukupa utajiri na mali zisizo isha ambazo watabaki wana miliki watoto na nduguzako

 

Kunautajiri unao tokana na nyota yamtu husika kwasababu kila kiumbe mungu amekipa siriziki yake na maishayake na bahati zake  kwa hiyo ukiweza kuitumia nyota yako unaweza kuwa tajiri ambae huto ishiwa tena bila mashariti yoyote

Kuna umuhimu wa kuzitumia nyota zetu kwa mwa kutungeneza maisha yetu ili tuweze kufanikiwa katika maisha yetu

IMANI JUU YA KUPATA UTAJIRI KWAKUPITIA NYOTA

Kunawatu wengi wana pata malizo kwa kutumia nyota na wapo watu wasio juwa jinsi ya kupata  mali kupitia nyota unaweza kujifunza hapa kwa ukamilifu na usomi kwa umakini utaweza kupata njia za kukusaidia wewe katika maisha yako

 

KWA MAELEZO YA NYOTA NA MAANA NA MAMBO MENGI YA NAYO HUSU NYOTA

Unaweza tembelea link hii kwakupata maelezo mbalimbali ya nyota na kujifunza jinsi ya kuitumia nyota yako kwa kukunufaisha wewe katika maisha yako {UTAJIRI WA NYOTAYAKO}


0 Reviews:

Contact Form

Name

Email *

Message *