NDOWA ZA MAJINI
Tunapo zungumzia mada za majini unatakiwa kujuwa majini ni aina za viumbe wanao ishi katika dunia pia unatakiwa kujuwa aina za majini mbalimbali ambao wanatofautiana katika kila aina za mambo
MAJINI WA NA JINSIAGANI?
Majini wana aina nyingi za maumbile pia wana aina nyingi za tabia maisha na hata hisia na makazi.kwamujimu wa maneno ya mtu s.w ametuambia kuwa mungu amewaumba majini katika maumbile mbalimbali yani aina nyingi katika hizo aina kuna majini wenye jinsia za kike na za kiume kuna wenye maumbile makubwa na madogo na yakati pia kuna wenye kuwana uwezo tofauti tofauti
MAJINI WANA AINA GANI ZA MAUMBILE?
Majini wana maumbile mengi na wemegawanyika katika maumbile kuna makundi 3
1.majini wenye uwezo wa kuruka na kupaa
2.majini wenye uwezo wa kutambaa na kutembea ardhini
3.majini wenye maumbile ya wanadamu
Katika aina hizi 3 kila aina za majini zina kuwa na kila sifa zinazo wahusu hao majini ili uweze kuuwa aina za majini ponyeza hapa{AINA ZA MAJINI}uteweza kujuwa aina za majini wote ambao unaweza kujifunza kuwajuwa naukaweza kupata faida za kuwa tumia au kujikinga nao
MAJINI WANAUWEZO GANI?
Majini wanauwezo mkubwa sana wa maarifa kazi na mbinu za kilaaina pia wameubwa kwa uwezo waajabu sana katika sifa na uwezo wao zipo nyingi na wametofautiana ila kuu ni 7
1.majini wanaelimu kuliko kiumbe chengine ukiwatowa malaika
2.majini wana uwezo wa kujibadilisha maumbile yao nakuwa kitu wanacho taka
3.majni wanauwezo wa kujuwa chochote kitakacho kuja mbele na kinacho kucha mbele
4.majini wana uwezo wakusafiri kwa umbali mrefu kwa muda mfupi
5.majini wanauwezo wa kuishi kwa muda mrefu bila kuzeeka wala kufaa
6.majini wana nuvu za kimwili
7.majini wanauwezo wakuingia katika kiumbe chochote na kuishi ndani ya kiumbe chengine
MAJINI WA FUNGA NDOWA?
Majini wana uwezo wakuishi katika maisha yoyote pia wanauwezo wa kuishi na kiumbe chochote wanacho kitaka kuwa nacho iwe kwa kheri au shari ya kwa uzuri au kwa ubaya
Majini wana sifa nyingi za kimahusiano wao kwa wao wana owana na kuzaa watoto wa kijini
Lakini pia wanauwezo wa kuzaa nakiumbe mwengine na akazaa watoto wanao kuwa na sifa 3
1.anaweza kuwa motto jinni
2.anaweza kuwa mtoto wa aina ya kiumbe mwengine ali e na mahusiano na huyo jinni
3.anaweza kuwa mtoto ana aina zote za kijini na ania ya kiumbe chengine
MAJINI WANA MAHUSIANA NA VIUMBE WENGINE?
Katika uwezo ambao walio pewa na mungu majini wana uwezo wakuwa na mahusiano na kiume chochote iwe ni katika wanyama wa dudu na biana adamu majini wanauwezo wa kuwa namahusiano ya aina 2
1.mahusiano ya urafiki na kazi aina mbalimbali
2.mahusiano ya kimapenzi /kwa kuowana ya ni ndowa/ mapenzi tuu/tendo la mapenzi
JINI ANAWEZA KUISHI NA MWANADAMU
M jinni wanauwezo wakuishi na wanadamu kwa sifa mbalimbali pia kunamajini ambao wanaishi na wanadamu bila mwanaadamu kumjuwa kuwa Yule kiumbe anae ishinae ni jinni ambae anaishinae na jinni huyo anaishi nay eye bila kuwa na matatizo yoyote
Kuna majini ambao hawaishi na wanadamu mpaka mwanaadu amkaribishe kwenye makazi yake na wapo majini wanakuja bila kukaribishwa wala kuletwa na mtu katika sehemu anaishi majini hao huwa wana gawanyika katika sehemu 2
1.wanakuwa majini wazuri wasio kuwa na matatizo yoyote kwa mtu wanae kanae
2.wanakuwa majini wa korofi wabaya wanao kuwa wana msababishia mtu matatizo mbalimbali
MWANAADAMU ANAWEZA KUISHI NA JINI
Mwanaadamu ameumbwa na mungu kapewa uwezo waajabu sana ambao jinni hana ambao ni uwezo wa akili na uwezo wakukitumia kiumbe chochote anacho kitaka
Mwanaadamu anauwezo wa kumtumia jinni kwa mambo yoyote anayo kuwa anataka kumtumia jinni kuna njia nyingi nza kuweza kumtumia jinni yoyote kwa kujuwa njia za kuweza kuwa tumia majini ponyeza haoa kuweza kujuwa njia na aina za kumtumia jinni {JINSI YA KUMTUMIA JINI}unaweza kujipatia mafundisho yetu hapa bure na ukaweza kujuwa viumbe unao weza kuwatumia katika shuguli zako mbalimbali
JINI ANAWEZA KUMTUMIA KIUMBE AU MWANAADU KWA SHIDA ZAKE ?
Majini wanauwezo wa kuingia katika mwili wa kiumbe yoyote na wanauwezo wa kufanya chochote kwa kiumbe alie ndani yake iwe kwa uzuri au kwa ubaya inategemea na kiumbe alie ingia kwa kiumbe huyo ni aina ya jinni gani kama nijini mbaya basi atamtumia kiumbe huyo vibaya kama atakuwa ni mzuri basi atamtumia vizuri
MWANAADAMU ANAWEZA KUMTUMIA JINI KWA AINA ZA SHUGULI GANI?
Kuna aina nyingi za kumtumia jinni inategemeana na wewe unae mtaka jinni aweze kukutumikia kwakitugani mwana adamu anaweza kumtumia jinni kwa masilahi yake au kwa masilahi ya yeye na huyo jinni kua maelekezo mengi sana ya kuweza kujuwa jinsi ya kuweza ku mtumia jinni {JINISI YA KUMTUMIA JINI}kwa aina za shuguli kama
1.biashara/utajiri/pesa /
2.kazi /ujenzi/
3.ulinzi/kinga
Na aina za shuguli mbalimbali ambazo wewe unaweza kuzifanya akaweza kukufanyia na kukupa
NI FAIDAGANI YA KUISHI NA JINI AU JINI KUISHI NA KIUMBE MWENGINE?
Kunafaida kubwa sana na kuna hasarakubwa sana kutokana na aina ya chaguo utakalo kuwa umechaguwa
Kuna aina za majini ambao unashauriwa uweno na kuna majini unashauriwa usiwe nao
Hii nikutoka na aina za matatizo yanayo tokea katika maisha ya viumbe mbalimbali unaweza kuishi najini kwa aina mbalimbali za sifa na kazi lakini pia jinni anaweza kuishi kwako kwa aina za sifa na mambo anayo tapata kwako
KunafaidA kubwa kwamtu akiwa najini katika hizo faida anaweza kuwa na faida hizi
1.mtu wenye elimu sana
2.mtu mwenye nguvu
3.mtu mwenye uwezo wa ajabu
4.mtu mwenye mafanikio yasio na matatizo yoyote
5.mtu mwenye jina kupendwa kusaminiwa na umaarufu
6.mtu mwenye utajiri na mali na uwezo wa kibiashara
7.mtu mwenye watoto na familia ilio na umaarufu elimu na utajiri wa watoto
8.mtu mwenye kuwa na uongozi mkubwa kabisa katika sekta mbalimbali hapa duniani
Kuna hasara kwamtu ambae hana jinni au anajini baya ambalo lita weza kumfania mambo
1.kumpa taabu zisizo isha mpaka anakufa
2.kuharibikiwa na mali kama ulikuwa ni tajiri
Ukiwa najini baya lita kufanya uwe ni mwenye matatizo a maisha mafupi hapa duniani lakini pia huto kuwa na sifa za kudumu hauto kuwa na utajiri wa kudumu na mambo mengi unashauriwa usukubali kuwa na jinni au kiumbe mbaya asie kuwa na maadili yanayo endana na wewe
UNAWEZA KUMUOWA JINI NA UKA ZAA NAE NA AKAKUPA MALI?
Kunaushahizdi mubwa sana ambao watu wame olewa na kuwaowa majini na ni matajiri na wanamali pia kuna watu wameolewa na majini na wameowa majini ni wenye matatizo mengi na nimasikini
Tunaposema ndowa kwa mwanaadamu na jinni kwanza unatakiwa kujuwa kuna ndowa aian 2
1.kuna ndowa za kujitakia yani ume mtafuta jini wewe mwenyewe akuwowe au umuwowe
2.kuna ndowa za jinni yeye mwnyewe kakupenda akawa ana ishi na wewe kwa mapenzo
Kuna aina za ndowa za majini kukupenda na kuna ndowa za majini wewe kupenda kuwa najini
Unaweza kujuwa madahii katika sehemu hii bonyeza hapa kwa kujuwa mada hii zaidi{FAIDA ZA NDOWA ZA MAJINI WAZURI NA MAJINI WABAYA}unaweza kujufinza madazetu hapa kwa umakini na ukajuwa mambo mengi ambayo usinge yapata pahali popote
USIWE NA MASHAKA KATIKA KUWA TUMIA MAJINI AU KUWA ODOSHA MASHETANI
Kuna ushahidi mkubwa sana katika kuwatumia majini kwa ni mitume na manabii na viongozi wa dini na wazee wetu wa kale wali watumia majini katika kila jambo ili uweze kujitowa wasiwasi juu ya kuwatumia majini somahapa na pata njia za kukusaidia {KUWATUMIA VIUMBE AINA YA MAJINI KUNA USHAHIDIGANI AU USIBITISHO?} katika linki hiyo utajuwa

0 Reviews:
Post a Comment